Tuesday, July 28, 2020

PARTRICIA ISAAC NGOTI hakika kuzaliwa kwa mtoto huyo mnamo tarehe 25.6.2020 ni furaha kubwa kwa mzazi na hata kwa wazazi wa mama mzazi wa partricia isaac ngoti tunamtakia maisha malefu na yenye uhakika wa maisha ila kila mtu anaweza ishi kulingana na maisha anayo yataka na kifo humkuta mtu na kwenda kule aliko chaua alipo kuwa hai hapa ninamaana kila mmja anajukum la kumuomba mwenyezi mungu ili atakapo kufa awe alikwisha jichagulia kwa kwenda sasa ba si hapa ninamaana hakika andaa maisha ya kwenda mbinguni na sio kwa shetani yaani mbinguni au motoni ila tujitahidi kutenda mema zaidi kuliko kwa shetani

















































1 comment:

Ngoti electronics service

Karibuni katika blogs yetu uniptie ujuzi pamoja na kuwasiliana MojaKwa Moja Kwa Simu nu 0752191829,0734660890 uliza unibiwe au fika oficin I...